english     français     kiswahili
*
wasifu KAWAKIA ni Nini? vifaa mwongozo taasisi ofisi

KAWAKIAKurekodi wasifu ambazo hazijasimuliwa za Wakristo wa Afrika waliobadilisha Afrika na ulimwengu wa Kikristo.

Tafsiri ya KAWAKIA kwa Kiswahili inaendelea. Sasa hivi, KAWAKIA ina wasifu chache ambazo zimetafsiriwa katika Kiswahili. Tunajaribu kutoa KAWAKIA nzima kwa Kiswahili.

Tovuti hii imebadilishwa Machi 2014

Kusoma

Yakobo Lumwe (Ng'ombe), 1888 hadi 1976, Mprotestanti, Tanganyika (Tanzania)

Yakobo Lumwe, ambaye pia aliitwa Yakobo Ng'ombe, alikuwa ni Mchungaji wa kwanza mwenyeji wa kanisa la kiprotestanti pwani ya kaskazini mwa Tanganyika. Alitumika ndani na katika mzunguko wa maeneo ya Tanga mjini, sehemu ambayo sasa ni ya Dayosisi ya Kaskazini Mashariki ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri katika Tanzania. Maisha yake na kazi ni mfano wa kusifu jinsi gani wakristo wananchi walivyojishughulisha katika kueneza Injili na kujenga kanisa pamoja na wageni wamissionari. 
>>Kusoma

Vifaa kwa Watafiti na Waandishi
Kutimiliza Historia Simulizi: Kuwasaidia Wakristo Kusimulia Habari Zao (faili PDF)