kiswahili
english
français
português
utangulizi faharasa taasisi
mwongozo
officiza
taasisi

Nicol, George
Karne ya 19
Anglikana (CMS)
Sierra Leone/Gambia

Wa Sierra Leone, Afrika Magharibi. Mkristo mzaliwa wa koloni hilo. Pale Fourah Bay Institution na, 1844, Church Missionary College, Islington. 1845-1956, mkufunzi wa hisabati pale Fourah Bay Institution. 1849, Trinity Sunday, akateuliwa shemasi, na Septemba 29, akabarikiwa mchungaji na Askofu wa London. Alihudumu kule Regent, Kissey, na Wellington. 1862 alihamia kwenye uchungaji wa wazawa. 1869, Kasisi wa kikoloni kule Gathurst, Gambia. 1882, atunukiwa shahada ya M.A. na Chuo Kikuu cha Durham. Alimwoa binti wa Askofu Crowther.Chanzo:

Church Missionary Society, Register of Missionaries (Clerical, Lay and Female) and Native Clergy from 1804 to 1904.Nyumbani