kiswahili
english
français
português
utangulizi faharasa taasisi
mwongozo
officiza
taasisi

Mattewos
aliishi mnamo mwishoni mwa karne ya 5 mpaka mwanzoni mwa karne ya 6
Orthodox
Ethiopia

Abba Mattewos alikuwa mfuasi wa Abba Z-Mika'l Argawi wakati Dbr Damo kwa mara ya kwanza ilifanywa kama eneo la watawa, na alimrithi kama mtawa mkuu pale.

A. K. IrvineBibliografia:

I. Guidi, "Il 'Gadla Aragwi'" Atti della Reale Accademia dei Lincei, serie quinta, vol. 2 (1896).


Makala hii imenakiliwa, kwa ruhusa, toka The Dictionary of Ethiopian Biography, Vol. 1 'From Early Times to the End of the Zagw Dynasty c. 1270 A.D.,' hatimiliki 1975, imehaririwa na Belaynesh Michael, S. Chojnacki na Richard Pankhurst, Institute of Ethiopian Studies, Addis Ababa, Ethiopia. Haki zote zimehifadhiwa.Nyumbani