kiswahili
english
français
português
utangulizi faharasa taasisi
mwongozo
officiza
taasisi


KAWAKIA ni Nini?

Jonathan J. Bonk, Mkurugenzi wa Mradi
Michèle Sigg, Meneja wa Mradi


Kamusi ya Wasifu wa Wakristo wa Kiafrika (KAWAKIA) ni kazi rejea inayopatikana kwa ajili ya wasomaji wa kawaida, wasomi na wanafunzi katika Tovuti au kwenye CD-ROM kwa kupitia taasisi shiriki. Shabaha yetu na kamusi hii ni kuhimiza wasifu wenye mantiki ulioandikwa vizuri ambao unaangaza maisha na kazi ya wale waliotimiza wajibu muhimu katika historia ya Ukristo wa Afrika.

Sasa hivi, KAMAKIA iko na masimulizi machache ambayo yametafsiriwa katika Kiswahili. Tunajaribu kutoa KAMAKIA nzima kwa Kiswahili.

Introduction in English


Nyumbani